iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Qarii wa Qur'ani Tukufu kutoka Iran Sayyed Jassem Mousavi amefika katika fainali ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3475147    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/20